{"id":221,"date":"2025-09-17T07:47:05","date_gmt":"2025-09-17T07:47:05","guid":{"rendered":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/product\/amerudi\/"},"modified":"2026-06-04T11:40:24","modified_gmt":"2026-06-04T11:40:24","slug":"amerudi","status":"publish","type":"product","link":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/product\/amerudi\/","title":{"rendered":"Amerudi"},"content":{"rendered":"

Longhorn Tamthilia \u2013 Amerudi ni mchezo wa kuigiza unaokidhi mahitaji ya mtaala wa kiumilisi kwa mwanafunzi wa Gredi ya 8. Tamthilia hii inamsisimua, inamwelimisha, inamhamasisha na kumburudisha msomaji kwa njia ya kipekee. Pendo, msichana wa Gredi ya 8 anaasi kila lililo jema. Vipindi katika runinga pamoja na mitandao ya kijamii imemvuruga akili. Babake Pendo, Bwana Ooko, hapatikani nyumbani. Ameadimika kama maziwa ya kuku katika malezi ya mwanawe. Pendo anatoroka shuleni na kisirisiri, \u00a0anafanya biashara ya \u00a0dawa za kulevya kwa kushirikiana na Nyau, mwanamke anayeuza dawa za kulevya. Pendo anasakwa na wazazi, mamlaka ya shule, polisi na marafiki. Je, ni nini kitamfanya Pendo arudi shuleni? Je, baba yake Pendo, Bwana Ooko atarudi nyumbani kumtafuta \u00a0mwanawe? Nyau aliyewatoroka polisi atarudi na kuyakiri na kuyatubu makosa yake? Amerudi\u00a0ni tamthilia tatuzi, yaani ni tamthilia inayokusudia kutatua baadhi ya matatizo ya kisasa ya malezi. Utatuzi huu unafanyika kupitia kwa kuishirikisha jamii pana katika kuyaelewa matatizo ya kisasa yanayowakabili \u00a0vijana na hasa wanafunzi. Kila\u00a0mmoja anafaa kujirudi na kurudi katika njia mwafaka kitabia, kimatendo na kifikira ili kupata suluhu ya changamoto za malezi.\u00a0Amerudi\u00a0ni mwangwi wa\u00a0methali ‘Mui\u00a0huwa Mwema’.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"

Longhorn Tamthilia \u2013 Amerudi ni mchezo wa kuigiza unaokidhi mahitaji ya mtaala wa kiumilisi kwa mwanafunzi wa Gredi ya 8. Tamthilia hii inamsisimua, inamwelimisha, inamhamasisha na kumburudisha msomaji kwa njia ya kipekee. Pendo, msichana wa Gredi ya 8 anaasi kila lililo jema. Vipindi katika runinga pamoja na mitandao ya kijamii imemvuruga akili. Babake Pendo, Bwana […]<\/p>\n","protected":false},"featured_media":0,"template":"","meta":[],"product_brand":[],"product_cat":[15],"product_tag":[],"class_list":["post-221","product","type-product","status-publish","product_cat-uncategorized","pa_contributors-murungi-m-james","pa_contributors-rehema-makokha","pa_copyright-longhorn-publishers","pa_language-swahili","pa_publisher-longhorn-publishers","first","instock","virtual","sold-individually","taxable","purchasable","product-type-simple"],"aioseo_notices":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/wp-json\/wp\/v2\/product\/221","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/wp-json\/wp\/v2\/product"}],"about":[{"href":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/wp-json\/wp\/v2\/types\/product"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=221"}],"wp:term":[{"taxonomy":"product_brand","embeddable":true,"href":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/wp-json\/wp\/v2\/product_brand?post=221"},{"taxonomy":"product_cat","embeddable":true,"href":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/wp-json\/wp\/v2\/product_cat?post=221"},{"taxonomy":"product_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/bookbuddy.snapplify.ai\/ke\/wp-json\/wp\/v2\/product_tag?post=221"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}