Kaka sungura

KSh 250.00

Description

Wanafunzi wenzake walimbandika jina ‘Kaka Sungura’ kwa sababu meno yake yalifanana na ya sungura. Mvulana huyo wa Darasa la Nne alipochoshwa na uchokozi, alibuni mbinu maalumu za kukabiliana na wanafunzi hao wakorofi. Je, mbinu hizo zilifaulu? Jisomee hadithi hii ya kuvutia utambue njia za kupambana na utani.

Additional information

Authors Muthoni Muchemi
Language Swahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789966628732