Kijiji Cha Ukame

KSh 250.00

Description

Wakazi wa Kijiji cha Ukame wanafyeka misitu na kujigawia mashamba. Muda si muda mvua inakosekana na wanakumbwa na athari za kiangazi. Hawana maji wala chakula. Mimea inanyaukia mashambani huku mifugo wakifa kwa kukosa lishe na maji. Je, watafuata ushauri wa Binti Kitabu kuhusu uhifadhi wa mazingira?

Additional information

Authors Hamisi Babusa
Language Swahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789966628688