Rehema Shujaa wa Kijiji

KSh 250.00

Description

Ni msimu wa mvua na mto Zongo umefurika na kuvunja kingo zake. Rehema , wazazi wake na wanakijiji cha Mwembeni wanazinduliwa na kelele asubuhi. Kuna mtu amekwama mtoni. Wanawake nao hawana mbinu za kumwokoa.Kijiji kinamhitaji shujaa ambaye ataokoa maisha ya mtu.Soma hadithi hii huweze kumjua shujaa.

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966115034