Description
Hii hadithi inazungumzia jinsi wanakijiji wa Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa Bintudamu uliokuwa karibu na kijiji hicho. Bwana Bintu anafunga safari hadikijijini Bantu kupata ushauri wa kuyaangamiza majitu hayo.Anapata siri kuu kuwa majitu yanapenda uji moto. Familia ya Bintu na Bintuntu inaleta ushindimkubwa. baada ya hapo, kuna usalama, usafiri, elimu, utalii.