Madalala Abadilika

KSh 250.00

Description

Madalala hakujali usafi wa mwili. Shuleni, wanafunzi wenzake walimbagua na kukataa kucheza naye. Siku moja Madalala akawa mgonjwa. Aliumwa na kichwa, tumbo na pia mwili wote ulimwashawasha. Alipopelekwa hospitalini, daktari aligundua kwamba maradhi yake yalitokana na uchafu. Alimshauri kuhusu umuhimu wa usafi. Soma zaidi kufahamu jinsi kinga ni bora kuliko tiba.

Additional information

Authors Rebecca Nandwa
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN ISBN 9789966788184