Kiki na Mina Darasani na Hadithi Nyingine

KSh 250.00

Description

Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: Karibu darasani Mimi na wenzangu Tarakimu

Additional information

Authors Pauline Kea
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966141118