Ah! Ajizi

KSh 250.00

Description

AH! AJIZI ni hadithi ya kuvutia inayohusu vijana wawili, Ajizi anajiingiza katika maisha ya kutotii wazazi na walimu. Hatimaye, anatumia dawa za kulevya zinazomfanya kuwa kichaa na kuugua kisha baadaye kuaga dunia. Juhudi kwa upande wake ni mwenye heshima na anafanikiwa maishani.

Additional information

Authors Tom Nyambeka
Language Swahili
Publisher Storymoja
ISBN 9966001122