Description
Anita na Agneto na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi ulio na mada teule zinazoegemea mtaala mpya wa elimu na kulenga kukuza usomaji kwa watoto licha ya kusheheni maadili kadhaa. Bila shaka nina imani kuwa msomaji atanufaika na kufurahia.