Description
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Tatu na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: Shambani Uzalendo Miezi ya mwaka