Chakula cha Biko na Hadithi Nyingine

KSh 250.00

Description

Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: Usafi wa mwili Usafi wa mazingira Vyakula vya kiasilia Shuleni

Additional information

Authors Pauline Kea
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966141132