Cheche za Insha Grade 8 Learners Book( CBC)

KSh 250.00

Description

Kinaakisi mtalaa wa umilisi Mazoezi ya ujuzi wa kidijitali Mwongozo wa uandishi hatua kwa hatua nafasi ya kufanyia mazoezi katika kila sura Vielelezo 25 vya insha zinazogusia mtalaa wa umilisi Ujuzi wa kuandika unaokuza ujifunzaji endelevu maishani Mazoezi ya kujenga msamiati yanayojikita kwa mwanfunzi Vichocheo zaidi ya 100 vya mazoezi ya kuandika insha bora Fursa ya kuchapishwa insha yako na kampuni ya Storymoja

Additional information

Authors Collins B. Ndamwe, Dan Bobea, Nuhu Bakari
Language Swahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789966629746