Chunga Adabu Yako

KSh 250.00

Description

Mfudishe mtoto wako njia nzuri ya kuishi na wenzake katika jamii akiwa mwenye umri mdogo ili tabia njema iwe mwenendo wa upole kwa mtoto wako na umweleze kwamba hayo ni manene ya adabu. Mhimize mtoto wako atumie maneno ya adabu yaliyotumika katika kitabu hiki. Miongoni mwa maneno hayo ni: habari ya asubuhi, tafadhali, pole, asante, samahani, uwe na siku njema, afya!, Kwaheri na usiku mwema.

Additional information

Authors Muthoni Muchemi
Language Swahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789966107