Description
Dafina ya Ushairi ni diwani yenye kutoa mwanga ka_ka fani ya ushairi kwa shule za msingi. Huu ni mkusanyiko wa mashairi mepesi ambayo yametungwa kiufundi kwa kuangazia maudhui mapana tangia nidhamu, maadili, bidii, elimu, mazingira na masuala mengine ibuka.