Damu ya Simba

KSh 250.00

Description

Bata Kwekwe ni mwoga wa kupindukia hadi wenzake wanamdhihaki, anapotumwa na mamaye shambani, mabata wenzake wanamzuia njiani na kumnyang’anya kikapu. Anatoroka na kukutana na Nyoka jasiri. Je, Nyoka anamsaidia vipi kuibua sifa ya ujasiri?

Additional information

Authors Muthoni Muchemi
Language Kiswahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789966627537