Eliana Binti Mfalme na Hadithi Nyingine

KSh 250.00

Description

Eliana Binti Mfalme ni hadithi yenye upekee wa kupigiwa mfano. Hadithi hii ni teule miongoni mwa hadithi nyingine nyingi, inayomfunza mwanafunzi msomaji umuhimu wa maadili. Ni hadithi inayosimulia kisa cha Eliana, ambaye ni binti wa mfalme. Marafiki zake Eliana wanampangia njama ya kumuumiza kutokana na roho zao za wivu. Je, ni nini kinatokea mwishoni? Tujifunze Pamoja ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mtalaa wa umilisi. Lengo la msururu huu ni kumwezesha mwanafunzi kupata ujuzi wa kuimarisha stadi ya kusoma, kukuza maadili yake na kumsaidia katika kufanya maamuzi ya busara maishani.

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966141415