Fimbo ya Amina

KSh 250.00

Description

Amina hawezi kuona kama watu wengine. Hata hivyo, ana ujasiri na uwezo wa kufanya mambo mengi kwa kutumia fimbo yake. Je, fimbo yake inamsaidia vipi Amina?

Additional information

Authors Linda Wavinya
Language Kiswahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789966628305