Description
Hadithi Sisimka ni msururu wa hadithi za watoto zilizoandikwa kwa lugha nyepesi na msamiati uliodhibitiwa ili kuwafaa watoto. Hadithi hizi zinawavutia wasomaji wachanga na ni msingi thabiti kwao katika kujenga uraibu wa kusoma
KSh 250.00

Authors | Dorothy Bracey, Peter Lieta |
---|---|
Language | Swahili |
Copyright | Longhorn Publishers PLC |
Publisher | Longhorn Publishers PLC |
ISBN | 9789966363785 |