Description
Halua tamu za watoto ni mkusanyiko wa hadithi fupi za watoto. Hadithi hizi zimeandikwa kwa lengo la kuburudisha, kuelimisha na zaidi ya yote kuchekesha. Hadithi hizi pia zimeandikwa zikilenga mahitaji ya mtaala mpya wa elimu (umilisi). Ni hadithi ambazo huwezi acha kusoma. Utasoma tena na tena .