Hatima ya Musa

KSh 250.00

Description

Musa anadanganywa na rafiki yake Dokta. Musa anaishi kupoteza karo ya shule kupitia mchezo wa kamari ila anazidi kuendelea kuucheza. Hatimaye anakamatwa na polisi na kupelekwa kwenye kituo cha polisi. Soma hadithi hii ili ujue yanayompata Musa.

Additional information

Authors Maina Dominic Oigo
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966115140