Description
Hadithi hii inahusu Heko, Haki na marafiki zao, Sudi na Bidii. Watoto hawa wote lichaya kushiriki kwenye michezo yao kwa pamoja, wanatii wazazi wao na kila mtu, wanaheshimiana na wanakua kulingana na wakati wa umri wao. Nina imani kuwa kila mmoja atakapoisoma hadithi hii ataifurahia.