Description
Natija na faraja hutoka mbali. Mwandishi anapiga darubini nyuma jinsi maisha yalivyomdunga miiba mikali kila sehemu ya mwili wake. Anasema zipo siku alikua anatumia mbalamwezi kutalii vitabu vyake usiku baada ya kukosa mafuta taa. Soma zaidi uweze kupata habari zaidi kuhusu mwandishi.