JASUSI NA HADITHI NYINGINE

KSh 250.00

Description

Je, Unakumbuka siku yako ya kwanza kuendsha baiskeli? Unawezaje kupata shilingi milioni moja? Unahitaji ujuzi gani kumfunza asiyejua klusoma wala kuandika? Unaamini kuwakila king’aacho si dhahabu? Ni nini madhara ya uvutaji sigara? Je, unawezakufanya nini endapo rafiki yako mmoja ametoweka ghafla? Je, wewe umechangia nini shuleni mwenyu?

Additional information

Authors Muthoni wa Gichuru
Language English
Publisher Storymoja
ISBN 9789914468984