KSh 250.00
Tumbiri na Binadamu ni ndugu wa damu moja.Wanapika na kula pamoja. Hata hivyo,Tumbiri hatosheki kila mara anapokula. Je, ana mpango gani?