Jitu latingisha Ardhi

KSh 250.00

Description

Jitu Latingisha Ardhi ni hadithi ambayo watoto pamoja na wazazi wao hawana budi kuisoma. Hadithi hii inatufunza tuwe washupavu na tuzikabili hali mbalimbali, hata zile ambazo tungehofia kuzikabili kwa ujasiri na kwa kujituma. Kina Wanjiru, Onyango, Cheptoo na Kioko wanatukumbusha kwamba urafiki wa dhati ni muhimu sana. Usibanduke, jipe uhondo. Ama Kwa hakika, sauti hiyo ya jitu ni kubwa ajabu!” Kuna toleo la Kingereza la hadithi hii pia.

Additional information

Authors Muthoni Muchemi
Language Swahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789966001573