Kade na Katana

KSh 250.00

Description

Hii hadithi inazungumzia nyanya akiwahadithia wajukuu wake kupitia kwa ngano. Kade alimsaliti ndugu yake Katana na kujipandisha cheo. Lakini baraka zaa mja hazizibwi hata kwa ukuta. Soma ili uweze kujua hatima ya ndugu hawa.

Additional information

Authors Carolyn Syokau
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966115102