Kashida katika Shida

KSh 250.00

Description

“Kashida amezaliwa katika familia na jamii ambayo inamkana. Inamkataa na kumchukia. Ananusurika kutolewa kafara na kufika nchi ngeni lakini matatizo yanazidi kumwandama. Kuna kitu cha ajabu mwilini pa Kahida na wakionacho kitu hicho ndio wanaozidisha taabu zake. Kashida anaporejea nyumbani anapangiwa kuuawa ili milki isipate majanga. Soma hadithi hii uelewe hali ya Kashida.”

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Language Swahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966115133