Description
Kuna mengi ya kuajabia. Katika ulimwengu wa wadudu,kuna baadhi yao wanaopitia hatua kadhaa za maisha yao kuanzia yai. Mageuzi hayo katika maumbile yao na maisha yao yana maana na umuhimu kwetu pia. Soma ili kujifunza maumbile ya kipepeo.