Description
Kiswahili Angaza, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 4 ni kitabu kilichoandikwa kwa upeo wa ubunifu na kuwambwa kwa makini. Kimetimiza kwa ukomo wa ukamilifu na kutosheleza mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki pia kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kinakuza umilisi uliopendekezwa na mtaala.