Kito Apepeta

KSh 250.00

Description

Kito, msichana mdogo wa shule ya msingi, ana kipawa cha kuimba. Kila anapopata nafasi anakuza kipawa hicho. Mwalimu anapomtafuta mwanafunzi ambaye atamtumbuiza mgeni mkuu, wanafunzi wanamchagua Kito. Je, ataweza jukumu hilo? Hadithi hii inawalenga watoto wanaoanza kukomaa kwa lugha na fasihi. Kinaburudisha na kuwahimiza watoto kukuza vipaji vyao.

Additional information

Authors Rebecca Nandwa
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN ISBN 9789966788174