Makovu ya Uhai

KSh 250.00

Description

Misururu ya masaibu yanayomwandama Daudi Marefu ni tele. Anapoibuka kwa hili anazamishwa kwa lile. Ndoa yake ina_buka. Anapigwa kalamu. Anapodhani kuwa nyota ya jaha imemwangazia, mwanawe wa pekee anafariki dunia. Haya ni masuala mazito kumkabili mtu mmoja kwa mkupuo. Kwanini mwanadamu hupi_a mi_hani maishani? Kwanini ndoa zinavunjika ndivyo sivyo? Mwandishi anajaribu kuyajibu masuala yale kupi_a matukio aliyoyasuka ka_ka kazi hii; Makovu ya Uhai.

Additional information

Authors Shisia Wasilwa
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966140227