Description
Gajabu inanguruma vizuri. Kisha kwa upesi sana, Gajabu inainuka juu na kuanza kukuzungukakwa kasi sana huku ikizidi kuwa ndogo. Makumba anazimia ndani ya gajabu. Hadithi hii innasaidia msomaji kuelewa bunilizi zinazotalii mwili wa binadamu.