Description
Maji yamewasomba Makumba na babuye pamoja na kinyesi na kuwarusha ndani ya shimo kubwa. Makumba na babu yake wameanguka ndani ya shimo lililosheheni kinyesi. Wanapoanguka, kinyesi zaidi kinawaangukia na kuwafunika.Soma hadithi hii ili ujue hali ya Makumba na babu yake.