Makumba na Majanabi

KSh 250.00

Description

Wanajiona wanaelea hewani juu ya paa lao kama ndege wanaopuruka. Wanajiona wakiendelea kupaa juu zaidi. Mwangaza umewashwa kutoka kwa ndege ajabu ya majanabi. Soma ujuzwe hatima yao baada ya kutekwa nyara

Additional information

Authors Hamisi Babusa
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN ISBN 9789966115072