Makumba na Selidamu Nyeupe

KSh 250.00

Description

Babu ana bunduki moja kubwa. Anaitumia kuua vimelea wa malaria zinazoingilia selidamu. Kemikali Vimelea wanapig amayowe na kuanguka nje ya selidamu wakiwa wamekufa. Soma ili ujue kama safari ya babu na Makumba itafua dafu au la.

Additional information

Authors Hamisi Babusa
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966115089