Mangumi na Makonde

KSh 250.00

Description

Hadithi hii inawahusu vijana wawili, Mangumi na Makonde ambao ni ndugu wa toka nitoke. Wawili hawa waliishi kwa uhasama mkubwa. Makonde anaondoka nyumbani na kutorokea nchi jirani mahali ambako anakutana na makuu kuliko ya nyumbani kwao.Hkika ugeni tabu. Basi aliruka majivu akakanyanga moto. huko alihukumiwa kunyongwa kwa kushukiwa kuwa jasusi. babakeanaelekea huko kujribu kumwokoa. yataishiaje?

Additional information

Authors Zachary Orori
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966140173