Mazingira Maridadi

KSh 250.00

Description

Mazingira Maridadi ni hadithi inayozindua msururu ‘Mazingira na Afya’ unaoangazia na kusisitiza kutunza mazingira na kudumisha usafi. Lengo hili limetimizwa kupitia majadiliano ya mara kwa mara pamoja na safari inayofungwa na akina Baraka. Athari za uchafu katika maeneo tunamoishi zimewekwa wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika. Shangazi anadokeza suluhisho mwafaka kupitia juhudi za kuelimisha wenzake mtaani.

Additional information

Authors R. Zawadi
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966788894