Mbweha na zabibu chachu

KSh 0.00

Description

Bweha mwenye njaa anaiona bustani iliyo na zabibu mbivu zinazoning’inia kutoka kwenye tawi. Bweha anaruka juu kutaka kuzinyakua lakini badala yake, anaangukia mgongo. Anaendelea kuruka juu zaidi na kila wakati anaanguka chini kwa kishindo. Je, atawahi kuzipata zabibu?

Additional information

Authors Kholeka Mabeta
Language Kiswahili
Publisher KICD Publishers
ISBN 4RZO7IPZJYWPK