KSh 250.00
Toma anaitegemea miwani yake kuona vizuri. Anapocheza na dada yake, miwani inaanguka na kuvunjika. Je, Toma atamwambia mama yake ukweli kuhusu miwani hio?