KSh 250.00
Rono na Kerich wanaenda shuleni. Wakiwa njiani, wanaona mkoba wenye vitu ndani yake. Je, watachukua vitu hivi ama watapeleka mkoba huu kwa mwalimu?