Mwati na Swale Mashakani na Hadithi Nyingine

KSh 250.00

Description

Kumbo hili la hadithi za kupendeza zenye mguso wa Kiafrika tena za Mwati na Swale Mashakani kifoniki lina jumla ya hadithi kumi na sita. Kila hadithi inaanza kwa kutanguliza sauti lengwa, vianzio, maneno teule, na maneno yenye urari. Hadithi hizi zinalenga kurahisisha ufunzaji wa stadi maalum za usomaji. Msururu huu utamsaidia msomaji kukuza stadi za usomaji darasani na kupalilia tabia ya kusoma maktabani na katika mazingira mbalimbali ikiwemo nyumbani na hivyo kukuza stadi za maisha na maadili.

Additional information

Authors Lillian Gathoni
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966140708