Mwisho wa Ujambazi

KSh 250.00

Description

Matata amemaliza kifungo chake na hatimaye kutoka gerezani. Huu ni mwanzo wa shida nyingi hasa katika shule nyingi za upili nchini. Matata na wenzake wawili Wembe na Kamaliza wameazimia kuwavurugia maisha wanafunzi kwa kuwauzia mihadarati. Matata ni jambazi sugu ambaye anawatetemesha maafisa wa polisi. Je atatiwa mbaroni tena pamoja na wenzake? Mwisho wa Ujambazi ni hadithi iliyofumwa na kufikia upeo wa kipekee ambao unamnasa msomaji pindi tu aanzapo kusoma.

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966075598