Description
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Nyota Mdogo ni hadithi ya kuvutia inayohusu nyota zenye sifa za kibinadamu, kwarara na bintimfalme. Nyota Mdogo anamwokoa bintimfalme kutoka msituni hadi akapewa jina Nyota Jasiri na mfalme.