Nyota Mdogo

KSh 250.00

Description

Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Nyota Mdogo ni hadithi ya kuvutia inayohusu nyota zenye sifa za kibinadamu, kwarara na bintimfalme. Nyota Mdogo anamwokoa bintimfalme kutoka msituni hadi akapewa jina Nyota Jasiri na mfalme.

Additional information

Authors Shaleen Keshavjee-Gulam
Language Swahili
Publisher Storymoja
ISBN 9789914469561