Panya Mjanja Mtegoni

KSh 250.00

Description

Hii ni hadithi ya tatu katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Amefungiwa mtegoni kwa tamaa yake. Je, atafaulu kujinasua?

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966788689