KSh 250.00
Hii ni hadithi ya kwanza katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya anafika nyumbani na kumkuta Kirikuu akicheza. Kirikuu yupo nyumbani peke yake. Kirikuu anaogopa panya sana. Je atafanyaje?