Panya Mjanja na Mama

KSh 250.00

Description

Hii ni hadithi ya pili katika msururu wa Vituko vya Panya. Panya Mjanja, kwa mara nyingine, anadhihirisha kwamba ujanja wake ungalipo. Anakimbizwa na Mama ili auliwe. Je, Mama atamkamata mara hii?

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN ISBN 9789966788672