Panya Mjanja na Paka Spoti

KSh 250.00

Description

Hii ni hadithi ya nne katika msururu wa Vituko vya Panya. Paka Spoti anampata Panya Mjanja akila chakula kwenye safuria. Je, Panya Mjanja atashikwa?

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Language Kiswahili
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966788696