Pumzi ya Malaika

KSh 250.00

Description

Meja Halali ni askari na afisaanayetekeleza majukumu yake kwaujasiri katika huduma ya polisi. Ana ari ya kuleta mageuzi ili kubadilisha picha mbaya ya polisi mbele ya umma kuhusiana na utendakazi wao.vilevile ana ari ya kuboresha mazingira ya utendaji kazi wa huduma ya polisi. Katika juhudi zake za kufikia mabadilikohayo anakumbana na pingamizi mbili; ya kwanza kutokana jinamizi la la ufisadikatika huduma ya polisi na pili kutoka kwa Jenerali Tito, kiongozi na msimamizi wa jeshi la polisi ambaye anayaona mageuzi hayo kama yanayolenga kumwondoa kwenye kiti chake. Jenerali Tito anatishia kumfuta kazi Meja Halali kwa madai ya uchochezi. Je, Meja Halali ataweza kustahimili dhoruba hii?

Additional information

Authors Kenga Mumbo
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN 9789966141569