Rehema Awanasa Wezi

KSh 250.00

Description

Walimu na wafanyakazi wotewana mkutano wa mwisho wa mwaka. Rehema kiranja mkuu anagundua kuwa wageni wanaofika shuleni si wageni wazuri. Wameingia maktabani na wanaendelea kuiba vitabu.Soma ujue kama Rehema atawezana na hawa wezi.

Additional information

Authors Yahya Mutuku
Publisher Queenex Publishers Ltd
ISBN ISBN 9789966115027